Home >> PDF >> Swahili >> Insha - Hotuba
 Insha Hotuba 7

Insha Hotuba 7

Wewe ni afisa wa kilimo wilayani. Andika hotuba kuhusu njia za kukabiliana na ukame.

Price : $ 1.00

Supplier : Nation Media Group

Country : Kenya

City : Nairobi

Posted : 08-03-2012

Last Modified : 08-03-2012

Headline : HOTUBA NILIYOITOA KAMA AFISA WA KILIMO WILAYANI KATIKA UGA WA SOKOMOKO KUHUSU NJIA ZA KUKABILIANA NA UKAME

Summary :

“Waziri mkuu, chifu, diwani na wananchi, Salaam aleikum? Mimi kama afisa wa kilimo katika wilaya hii ya Njaa, nimesimama kidete na wima kama ngoringori, kuwahutubia kuhusu njia za kukabiliana na ukame. Hii ni hali ya nchi kuwa kavu kiasi cha kutowezesha kupata mavuno ya kutosha.